MAGAZETI

1.Risalatuth Thaqalayn, chapa ya The Ahul Bait (a.s) World Assembly, Iran.

2. At-Tawhiid, chapa ya Muassasatut Tawhiid Iran.

3. Al-A'alam, chapa ya London.

4. Al-wah'dah, chapa ya Teheran.

5. Ash'Shahiid, chapa ya Teheran.

6. Sauti ya Umma, chapa ya Teheran.

7. An-nuur, chapa ya Dar es Salaam.

8. Miizan, chapa ya Dar es Salaam.

9. Nasaha, chapa ya Dar es Salaam.

10. Msema kweli, chapa ya Dar es Salaam.

11. Majira, chapa ya Dar es Salaam.

12. Nyakati, chapa ya Dar es Salaam.

13. Rai, chapa ya Dar es Salaam.

روي عن الإمام جعفر الصادق (عليه السلام) أنه كان من دعائه إذا قرأ القرآن:

"بسم الله، اللهم إني أشهد أن هذا كتابك المنزل من عندك على رسولك محمد (صلى الله عليه وآله وسلم)، وكتابك الناطق على لسان رسولك، فيه حكمك وشرائع دينك، أنزلته على نبيك، وجعلته عهداً منك إلى خلقك وحبلا متصلا فيما بينك وبين عبادك. اللهم إني نشرت عهدك وكتابك، اللهم فاجعل نظري فيه عبادة وقراءتي تفكراً وفكري اعتباراً، واجعلني ممن اتعظ ببيان مواعظك فيه واجتنب معاصيك، ولا تطبع عند قراءتي كتابك على قلبي ولا على سمعي، ولا تجعل على بصري غشاوة، ولا تجعل قراءتي قراءة لا تدبر فيها، بل اجعلني أتدبر آياته وأحكامه آخذاً بشرائع دينك، ولا تجعل نظري فيه غفلة ولا قراءتي هذرمة، إنك أنت الرؤف الرحيم."

DUA YA IMAM JAAFAR AS-SAADIQ (A.S) KABLA YA KUSOMA QURAN

Kwa jina la mwenyezi mungu mwingi wa rehema mwenye kurehemu.

Ee Mola' Hakika mimi nina kushuhudisha yakuwa: Hiki Kitabu chako kilichoteremshwa kutoka kwako juu ya Mtume wako Muhammad bin Abdillah s.a.w. Na Maneno yako yenye kutamka kwa ulimi wa Nabii wako,

umeyafanya kuwa Muongozo utukao kwako kwa viumbe wako. Na (umeyafanya) kuwa ni kamba yenye kuunganisha mambo yaliyo kati yako na kati ya waja  wako.

Ee Mola Hakika mimi nimesambaza Ahadi yako na Kitabu chako. Ee

Mola!  Basi ufanye mtazamo wangu ndani ya Kitabu hiki kuwa ni Ibada,

na kisomo changu  ndani ya Kitabu hiki kuwa ni fikra, na fikra zangu ndani ya kitabu  hiki kuwa ni mazingatio. Na unifanye (kuwa) miongoni mwa wanaoonyeka kwa ufafanuzi wa Mawaidha yako ndani ya Kitabu hiki.Na kuepuka  kukuasi, na wala usizibe kusikia kwangu wakati masikio nikisoma, na wala  usiweke kizibo katika maono yangu, na wala usiweke

kisomo kisichokuwa na mazingatio (katika) kisomo changu.

Lakini nifanye  nizingatie Aya zake na hukumu zake, hali ya kuchukua sheria za dini yako. Na wala usifanye mtazamo wangu katika Kitabu hiki kuwa na mghafala (kusahau) wala (katika) kisomo changu kuwa na

Makosa na upotovu,  hakika wewe tu ni Mpole na Mwenye kurehemu.