TUNU

Kila sifa njema ni ya Mwenyeezi Mungu, ambaye kwa hekima na ukarimu wake ameniongoza na kuniwezesha mimi kuifasiri Qur-an yote nzima, ambayo ninaitunuku kwa heshima kubwa kwa:

• Mtukufu Mtume Muhammad s.a.w.

• Ahlul Bayt (a.s)

• Baba yangu mzazi, Bwana Jumaa bin Mayunga

• Mama yangu mzazi, Bibi Aisha bint Mayanga

• Masheikh walionisomesha

• Walionitendea mema

• Wafuasi wa Ahlul Bayt (a.s)