1. Sema najikinga na Mola Mlezi wa asubuhi inapo pambazuka kutokana na usiku.

Rudi kwenye Sura

2. Na shari ya kila chenye shari katika viumbe, ambavyo hapana wa kuzuia shari yao ila Mwenye kumiliki amri yao.

Rudi kwenye Sura

3. Na shari ya usiku unapo kuwa totoro.

Rudi kwenye Sura

4. Na shari ya anaye pita baina ya watu kwa sababu ya kuwafisidi.

Rudi kwenye Sura

5. Na shari ya hasidi anaye tamani iondoke neema kwa wengine.

Rudi kwenye Sura