Kwajina la Mwenyeezi Mungu, Mwingi wa rehema, Mwenye kurehemu.
Sema: Ninajikinga kwa Mola wa asubuhi.
2. Na shari ya alichokiumba.
3. Na shari ya usiku wa giza unapoingia.
4. Na shari ya wenye kupuliza katika mafundo.
5. Na shari ya hasidi anapohusudu.